
MKUU wa wilaya ya Bunda, Lyidia Bupilipili, amezindua uandikishaji wa bima ya afya kwa watoto walio chini ya miaka 18 huku akitoa wito kwawazazi na walezi kuhakikisha wanatimiza wajbu wao kwa kuhakikisha kila anayelengwa anakatiwa ili aweze kupata huduma ya afya kwa uhakika. Akizungumza kwenye uzin…