Ma bloga kutoka mikoa mbali mbali wakiwa katika darasa la mafunzo ya uboreshaji uandishi wa mitandao ya kijamii chini ya ufadhili wa TMF
MAFUNZO YA SIKU TANO YA MAMBO YA BLOG KUTOKA TMF NDIO YANAANZA HAPA DODOMA
Washiriki wa mafunzo ya uboreshaji
wa uandishi wa mitandao ya kijamii kama blog na mingine wakiwa
katika ukumbi wa Dodoma Hotel leo ni mafunzo ya siku nne kuanza
leo
Ma bloga kutoka mikoa mbali mbali wakiwa katika darasa la mafunzo ya uboreshaji uandishi wa mitandao ya kijamii chini ya ufadhili wa TMF
Kama kawaida wanablogger kutoka Mara wakiwa katika Mafunzo New Dodoma
Hotel,kutoka kushoto ni Pendo Mwakyembe,Augustine Mgendi na Shomar Binda
Ma bloga kutoka mikoa mbali mbali wakiwa katika darasa la mafunzo ya uboreshaji uandishi wa mitandao ya kijamii chini ya ufadhili wa TMF
Post a Comment
0 comments