Kama shuleni hukuwa msikivu kwa walimu na kutozingatia
masomo darasani utatafuta sana jina lako katika mbao za matangazo na hutajiona
kama umechaguliwa kwenda sekondari,kama hujaona jina lako mwambie mzazi aone
namna ya kukusaidia!,ndio manaana nasema “utavuna ulichopanda”.
Home
»
»Unlabelled
» MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKANI MANISPAA YA MUSOMA YAMEBADIKWA,WALIOVUNA WAMEVUNA
Post a Comment
0 comments