0
 NI KAMA ANASEMA ,UMEONGEA MANENO MHESHIMIWA
 NAOMBA NIWAMBEE VUJANA ACHENI KUWASHABIKIA WANASIASA CHANGAMKIENI FURSA ZA GESI MTAFANIKIWA

 MSISITIZO WA KIJANA KWA WAZIRI MUHONGO
 KIJANA AKITOA HOJA
 NAWASIKILIZA KWA MAKINI

 DOKTA MUSUTO NA BWIRE CHIRANGI WAKIWA NA WAZIRI MUHONGO
 UNAPOKUTANA NA WAZIRI MWENYE DHAMANA FURANI LAZIMA MBADILISHANE MAWAZO
 DA FROLA MUNDEMBA AKIZUNGUMZIA KUHUSU KIWANGO KIKUBWA CHA KODI KWA WAFANYABIASHARA
 MAMBO YA MENU NAYO HAYAKUWA NYUMA

 USINESEMA KAMA KAWAIDA
Akizungumzia suala la Uchumi na Maendeleo,Profesa Muhongo aliwataka vijana wa Musoma mkoa wa Mara na Tanzania kwa ujumla kuachana na marumbano ya kisiasa yanayowapotezea muda na kujikita katika kujiandaa kujiongezea uchumi kupitia gesi kwani ndio fursa pekee ya Maendeleo.

Alisema vijana waache kuwashabikia wanasiasa na kupanga safu za nani atakuwa Diwani ama Mbunge bali waangalie maisha yao na kutanabaisha kuwa kuibuliwa kwa gesi kuna fursa nyingi za kujiongezea kipato na kuwataka vijana kuzitumia.


Post a Comment