
KIONGOZI MKUU WA ACT-WAZALENDO,ZITTO KABWE AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KWENYE UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKENDO MJINI MUSOMA AMBAPO LICHA YA MASUALA MENGINE ALIZUNGUMZIA SUALA LA TATIZO LA AJIRA HAPA NCHINI NA KUDAI ACT -WAZALENDO INA MIPANGO MADHUBUTI YA KULETA MABADILIKO
WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO WA ACT-WAZALENDO
MSISITIZO
AFANDE SELE AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO HUO
WANANCHI WAKINUNUA KADI ZA ACT
HAPA ZITTO ALIKUWA AKIWASILI UWANJANI
WIMBO WA TAIFA ULIIMBWA KABLA YA KUANZA MKUTANO
Post a Comment
0 comments