Akizungumza baada ya kukabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12 zikiwemo jezi seti 60 za mpira wa miguu na mipira seti 50,alisema ameamua kufanya hivyo kwa timu zote za mitaa na vijiji ili kuwezesha wachezaji wake kushiriki kikamilifu katika michezo.
Sehemu ya jeze zilizotolewa na Bulaya
Sehemu ya mipira 50 iliyotolewa kwa ajili ya timu za vijana Bunda
Bulaya akizungumza na timu za vijana
Mashuhuda wakifatilia tukio la utoaji wa vifaa hivyo
Bulaya akionyesha mipira aliyoitoa
Timu zikikabidhiwa vifaa
Jezi zikikabidhiwa
Post a Comment
0 comments