Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho,Josephat Muniko,amesema moja ya malengo ya mradi ya kiwanda ni kukamua mafuta yenye ubora yenye kukidhi hadhi ya kimataifa na kutengeneza ajira kwa jamii inayozunguka mradi na kuhamasisha jamii kulima zao la alizeti ambalo soko lake ni la uhakika
Viongozi wakitembelea kiwanda hicho
Kiongozi wa mbio za mwenge katika picha ya pamoja na uongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Sunlishe
Kazi inaendelea
Kiongozi wa mbio za mwenge akipewa zawadi ya box la mafuta kutoka uongozi wa kiwanda
Mkuu wa Wilaya ya Tarime,Glorious Luoga,akikabidhiwa zawadi yake
Apoo Castro Tindwa,mkurugenzi wa halmashauri ya Tarime nae alipata zawadi
Baada ya kutoka kiwandani burudani ziliamia uwanja wa mkesha wa mwenge Nyamongo ambapo kiongozi wa mbio za mwenge aliongoza upande wa burudani
Post a Comment
0 comments