0


KAMPUNI ya mtandao wa simu  za mkononi ya Vadocom umekabidhi baiskeli kwa mawakala wake waliofanya vizuri zaidi kwa kutoa huduma za mtandao ili ziweze kuwarahisishia kazi kati kuwahudumia wateja kwenye maeneo yao bila kuwa na vikwazo vyovyote.            

Meneja mauzo wa Vodacom kanda ya Tarime, Stide Tibenda,ambaye pia alikabidhi jezi kwa mashabiki wa soka John John kupitia promosheni ya soka letu, amesema baiskeli hizo ni motisha kwa mawakala hao katika kuwatia moyo na kuwalahisishia kazi ya kuwahudumia wateja katika kuwapa huduma mbalimbali
Meneja mauzo wa Vodacom kanda ya Tarime, Stide Tibenda, akimkabidhi John jezi yake aliyojishindia kupitia promosheni ya Soka Letu


 Baiskeli zikiwa tayari kukabidhiwa mawakala
 Mambo ya makabidhiano yaliyofanyika kwenye duka la Vodacom mjini Musoma
 Furaha ya kupata baiskeli

 Mawakala wakiwa na baiskeli zao walizokabidhiwa

Post a Comment