0
KAGINA NOTI ZONGORI

Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara ambaye ameahidi kuleta mabadiliko makubwa ndani ya Chama hicho awapo atateuliwa katika vikao vya uteuzi vinavyoendelea katika ngazi mbalimbali.

Amekuwa kipimo kikubwa cha imani kwa Wanachama wa CCM Mkoa wa Mara na kuahidi kulejesha imani za Chama cha Mapinduzi katika imani tatu za CCM.

Imani ya kwanza Binadamu wote ni sawa

Imani ya pili kila mtu anastahili heshima ya kutambulia na kuthaminiwa utu wake

Imani ya tatu ujamaa na kujitegemea ndio njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru

Amedai imani hizo zimsaulika ndani ya Chama cha Mapinduzi na kupelekea kuwa na matabaka ambayo hayana tija bali kuondosha imani kwa Chama cha Mapinduzi.

Post a Comment