0
 WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA,ASHA ROSE MIGIRO,AMEWAONGOZA WATANZANIA KATIKA SAFARI YA MWISHO YA MAZISHI YA MTOTO WA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE,JOHN NYERERE YALIYOFANYIKA WENYE KIJIJI CHA BUTIAMA ENEO LA MWITONGO.
 MWILI WA JOHN NYERERE UKIFIKA ENEO LA MWITONGO BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA ILIYOFANYIKA KANISA KATORIKI PAROKIA YA BUTIAMA

 SEHEMU YA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIPOKEA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE BAADA YA KUFIKISHWA ENEO LA MAZIKO

 MWILI UKIWA TAYARI UMEFIKISHWA ENEO MAALUMU KABLA YA MAZIKO
 ASKOFU WA KANISA KATORIKI JIMBO LA MUSOMA,MUASHAMA PETER MSONGANZILA AKIONGOZA IBADA YA MAZISHI

 MWILI WA JOHN NYERERE UKIINGIZWA NDANI YA KABURI NA ASKARI WA JKT

 MWILI WA JOHN UKIWA NDANI YA KABURI
 MAMA MARIA NYERERE AKIWEKA MCHANGA NDANI YA KABURI
 MAKONGORO NYERERE NAYE AKIWEKA MCHANGA NDANI YA KABURI
 NAPE NAUYE NAYE AKIPATA NAFASI HIYO

 ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA,ANGELINA MABULA KABLA YA KUHAMISHWA NAYE ALISHIRIKI
 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA,SANYA AKIWEKA MCHANGA
 ASKOFU MSONGANZILA AKIONGOZA ZOEZI LA UWEKAJI MASHADA
 FAMILIA IKIWEKA MASHADA YA MAUA

 MAKONGORO NYERERE AKIWEKA MASHADA PAMOJA NA MKE WAKE
 EDWARD LOWASSA AKIWEKA SHADA LA MAUA
 MWENYEKITI WA ACT-WAZALENDO AKIWEKA SHADA
 FAMILIA YA MWALIMU NYERERE IKIFATILIA TARATIBU ZA MAZISHI
 MTOTO WA HAYATI MWALIMU NYERERE,EMILY NYERERE AKISOMA WASIFU WA MAREHEMU JOHN NYERERE
 VIONGOZI WAKIFATILIA


Post a Comment