0

 WAANDISHI WA HABARI MKOANI MARA,WAMETAKIWA KUANZISHA CHAMA CHA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS) ITAKAYOWAWEZESHA KUJIONGEZEA KIPATO KITAKACHOWAWEZESHA KUFANYA KAZI ZAO BILA VIKWAZO IKIWEMO KUWASAIDIA KUFIKA MAHALA POPOTE KUPATA HABARI NA KUIFIKISHIA JAMII.WITO HUO ULITOLEWA NA AFISA USHIRIKA MKOA WA MARA,JUMA MOKILI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MJINI MUSOMA.
    
MWENYEKITI WA MUDA WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MARA,SHOMARI BINDA AKIZUNGUMZA JAMBO KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI.ELIMU YA NAMNA YA WAANDISHI KUANZISHA SACCOS
 IKITOLEWA NA AFISA WA USHIRIKA MKOA WA MARA, JUMA MOKILI


Post a Comment