Post a Comment

wanajiita watafutaji kaka,eti wanakomaa mjini
they don't care coz life's not fair,wengine lak 5kwa sku wakati hiyo lak 5 mishahara ya miez 3 ya mtz wa low life standard.
yote hiyoni ili mkono uende mahal pake

Ni maamuzi tu ya aina na mitindo ya maisha, pale ubongo uliposhindwa kufanya kazi darasani. Hata hivyo kama wapo magwiji wa sanaa hivi sasa waliopitia kadhia kama hizi ni kutokana na nidhamu binafsi ya fursa na nafasi za kimaisha. Kila mtu ana njia yake ya kuyamiliki mazingira yake na kila mtu anajipangia mwisho wake kulingana na maamuzi yake hivi sasa.

Usipo kuwa na akili ya kufikilia mbali mambo kama hayo ndo yanatokea af mbona mtaani anarespect Sana huyo mtu duh majanaga sasa