0
 WANAWAKE WANAOFANYA KAZI KWENYE MGODI WA ACACIA NORTH MARA ULIPO NYAMONGO,WALITUMIA SIKU YA WANAWAKE DUNIA KUTOA MISAADA MBALIMBALI KWENYE VITUO VIWILI MJINI MUSOMA VINAVYOLEA WATOTO WACHANGA PAMOJA NA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
 WANAWAKE WANAOFANYA KWENYE MGODI HUO WAKIWA NA WATOTO WANAOLELEWA KWENYE KITUO CHA CHILDREN OF HOME KILICHOPO BWERI MUSOMA MJINI AMBAPO WATOTO WANAOLELEWA HAPO NI WALIO CHINI YA MIAKA MITANO AMBAO WENGINE MAMA ZAO WALIWATELEKEZA MARA BAADA YA KUZALIWA NA WENGINE WAZAZI WAO WARIFARIKI BAADA YA KUJIFUNGUA
 WANAWAKE WAKIFURAHI NA WATOTO


 ILIKUWA NI SIKU NZURI KWAO KUFIKA KWENYE KITUO HIKI NA KUFURAHI NA WATOTO KAMA WALIVYODAI
 WENGINE WALIWAANGALIA WAKIWA NJE YA KIBANDA CHAO CHA KUPUMZIKA


 MAMA DANIEL AMBAYE NI MLEZI WA KITUO HICHO AKIELEZEA FURAHA YAKE YA KUTEMBELEWA NA WANAWAKE WANAOFANYA KAZI KWENYE MGODI WA ACCASIA NORTH MARA
 PICHA ZA PAMOJA ILIKUWA NA NAFASI YAKE KATIKA KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI

 
 AKHSANTE KWA MSAADA
 BAADAE WALIELEKEA KWENYE KITUO CHA JIPE MOYO KILICHOPO MAENEO YA MWISENGE AMBAPO WANALELEWA WATOTO WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU AMBAPO PIA WALITOA MISAADA MBALIMBALI YA CHAKULA NA MAVAZI
 SEHEMU YA MISAADA

 AFISA MAHUSIANO WA MAKUNDI TETE WA MGODI WA ACACIA,ANNAMARIA BAISI,AKIELEZEA KILE WALICHOKIFIKISHA KWENYE KITUO HICHO
 BURUDANI KUTOKA KWA WATOTO PIA ILIHUSIKA

Post a Comment