0
AFISA MASOKO WA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA(PSPF),MAGIRA WEREMA(WA PILI KUSHOTO)AKIKABIDHI SEHEMU YA MIFUKO 263 YA SARUJI KWAAJILI YA KUKARABATI MIUNDOMBINU YA SHULE 13 ZA MSINGI NA SEKONDARI KATIKA WILAYA YA TARIME ILI KUWAFANYA WANAFUNZI KUSOMA SEHEMU NZURI,WANAOPKEA NI WAWAKILISHI WA BAADHI YA SHULE HIZO PAMOJA NA MBUNGE WA VITI MAALUMU ESTER MATIKU

WEREMA AKIKAGUA MAJENGO KWENYE SHULE YA MSINGI NYINCHOKA AMBAYO PIA ILIPEWA MSAADA WA MIFUKO YA SARUJI
MBUNGE ESTER AKIONYESHA SEHEMU AMBAYO WANAFUNZI WANASOMEA IKIWA HAIJAWEKWA SAKAFU
MAGIRA AKIMUANGALIA MWANAFUNZI AMBAYE ALIKUWA HAJAVAA SARE AKIWA DARASANI
NI KAMA ANAULIZIA CHOO WANACHOTUMIA WANAFUNZI
CHOO CHA WALIMU WA SHULE HIYO

MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAPINDUZI AKITOA SHUKRANI BAADA YA KUKABIDHIWA SEHEMU YA MIFUKO YA SARUJI
AFISA MASOKO WA PSPF AKIZUNGUMZA NAMNA MFUKO HUO UNAVYOGUSWA NA MASUALA YA ELIMU BORA KATIKA JAMII
MBUNGE ESTER MATIKU NAE ALITOA SHUKRANI ZAKE

Post a Comment