0
 WANACHUO WA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (CDTI)BUHARE,KILICHOPO MUSOMA,WAMEKEMEA NA KULAANI MATUKIO YA KUTEKWA,KUUWAWA NA KISHA KUONDOLEWA VIUNGO VYA MWILI WALEMAVU WA NGOZI(ALBINO)

WAKITOA TAMKO HILO NA KUKABIDHI MISAADA MBALIMBALI KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA NGOZI NA MACHO KWENYE SHULE YA MSINGI MWISENGE,WANACHUO HAO WALILAANI VIKALI MATUKIO YANAYOJITOKEZA NA KUIOMBA SERIKALI KUCHUKUA HATUA MADHUBUTI YA KUKOMESHA MATUKIO HAYO.

 WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA NGOZI WA SHULE YA MSINNGI MWISENGE WAKIWA WANAWASIKILIZA WANACHUO WA BUHARE WALIOWAPELEKEA MISAADA MBALIMBALI

 MRATIBU WA SHUGHULI KUTOKA BUHARE CDTI,BINAISA MOTWE,AKITOA UFAFANUZI
 MMILIKI WA BLOG YA SHOMMI B,NI MMOJA YA WATU WALIOKUWEPO ILI KUWEZA KUTOA TAARIFA
 SEHEMU YA WANACHUO WA BUHARE CDTI.

Post a Comment