WAKULIMA WA ZAO LA MUHOGO WAKIWA WAMEBEBA SHINA MOJA LA ZAO HILO AMBALO LIMETOA MAZAO MENGI BAADA YA KUFANYIWA UTAFITI NA KITO CHA UTAFITI WA KILIMO CHA MIKOCHENI KUTOKANA NA KUKABILIWA NA UGONJWA WA BATOBATO NA MICHILIZI KAHAWIA LAKINI KWA SASA WAMEDHIBITI UGONJWA HUO NA WAKULIMA KUFURAHIA MATOKEO YA UTAFITI
AFISA MFAWIDHI WA KITUO CHA UTAFITI CHA MIKOCHENI,JOSEPH NDUNGURU(KUSHOTO,AKIONYESHA ZAO LA MUHOGO LINAVYOONEKANA BAADA YA KUFANYIWA UTAFITI WA KUPAMBANA NA MAGONJWA YALIYOKUWA YAKILIKABILI ZAO HILO
KUSHOTO ZA LILILOFANYIWA UTAFITI NA KITUO CHA MIKOCHENI NA KULIA ZAO AMBALO HALIJAFANYIWA UTAFITI YAKIONEKANA BAADA YA KUPANDWA KWA SIKU MOJA |
WAKULIMA WA ZAO LA MUHONGO KUTOKA WILAYA YA MBINGA MKOANI RUVUMA WALIOKUJA KUJIFUNZA MKOANI MARA |
SHAMBA LA ZAO LA MIHOGO LA MFANO LILILOPO WILAYANI RORYA MKOA WA MARA
MKULIMA WA KIKUNDI KIPYA AKIKABIDHIWA MBEGO YA MUHOGO
BAADA YA KUTOA RORYA HALI ILIKUWA TETE NJIANI KAMA UNAVYOWAONA WAANDISHI HAWA ALIVYOCHOKA NA HAPO CHINI WAKIWAZA NAMNA YA KUONDOKA BAADA YA TAIRI KUPASUKA
Post a Comment
0 comments