0
 OFISI UA MKURUGEZI WA HALIMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA,IMETOA ORODHA YA MAJINA 64 YA WAKAZI WA MANISPAA HIYO WALIFAULU USAILI WA KUANDIKISHA WANANCHI KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUPITIA MFUMO WA BVR KATIKA ZOEZI LITAKALOANZA JUNI 9 HADI JULAI 9
 MMOJA WA WENYEVITI WA MITAA YA MANISPAA YA MUSOMA PAMOJA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA LEO WAMESHIRIKI SEMINA KUHUSU ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
 
 MKURUGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA KHALFAN HAULE AKITOA NENO KWENYE SEMINA HIYOPost a Comment