0
 BANDUKI NA RISASI ZILIZOKAMATWA LEO MJINI MUSOMA NA JESHI LA POLISI
 WATUHUMIWA WAKIWA CHINI YA ULINZI
 RISASI ZILIZOKAMATWA
 KAMANDA MTUI AKIONYESHA SMG ILIYOKAMATWA
 MAGAZIN ILIYOKUWA IMEBEBA RISASI 23
JESHI la polisi mkoani Mara limewakamata watu wanne wakiwemo wawili raia wawili wa nchi jirani ya Kenya wakiwa na bunduki ya kivita aina ya SMG ambayo namba zake zimefutwa pamoja risasi 23 kutokana na kupewa taarifa kutoka kwa raia wema.

Post a Comment