0

 
 
 DAIMA TUTAKUKUMBUKA


 NENDA KAMANDA MBELE YAKO NUMA YETU
 TUMEKUSINDIKIZA NASI TUKO NYUMA YAKO

 KAPUMZIKE KAMANDA
 WATOTO WAMAREHEMU WAKIWEKA SHADA LA MAUA
 HUSSEN TX PAMOJA NA KIVI WAKIWEKA SHADA LA MAUA
WAKAZI WA MANISPAA YA MUSOMA WALIJITOKEZA KWA WINGI KUMSINDIKIZA KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO ALIYEKUWA MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA MWEMBENI NA TOWN STARS ZA MUSOMA MAREHEMU lENNY MACHUMU (PIPPEN).
 ALIYEFARIKI DUNIA APRIL 13 JIJINI DAR ES SALAAM.

KAPUMZIKE MBELE YAKO NUMA YETU.

Post a Comment