0


 MWILI WA ALIYEKUWA ASKARI WA JESHI LA POLISI MUSOMA MJINI KITENGO CHA AFYA SGT NICHOLAUS UKISHUSHWA KWENYE GARI UKITOKEA MKOANI KILIMANJARO KWAAJILI YA WAKAZI WA MUSOMA KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO
 AFANDE RPC MARA AKITOA NENO LA SHUKURANI
 WAOMBOLEZAJI WAKIPITA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
 KAMANDA MTUI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ASKARI WAKE
 OCS HUPA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO
 OCD-MUSOMA JUMA MAJATA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU SGT NICHOLAUS
 OC-CID -MUSOMA AKITOA HESHIMA ZA MWISHO

 KWAHERI AFANDE NICO
 NI HUZUNI
 SAFARI YA MWILI WA MAREHEMU SGT NICO UKIENDA KUPANDISHWA KWENYE GARI KUELEKEA NYUMBANI KWAO SENGEREMA

Post a Comment