0


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAARIFA YA  KATIZO LA UMEME ‘LINE’ ZA BUTIAMA NA MAKOKO
JUMAPILI TAREHE 13/04/2014 SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 11 JIONI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa MARA  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

KUANZIA:  Tarehe 13/04/2014 siku ya Jumapili

SAA:            Saa 03: 00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni

SABABU:     Matengenezo katika transfoma kubwa ya T3 Mwanza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mmazami,Sabasaba,ButuguruOswadi,Mang'ombe,Kiabakari,Madaraka,Jeshini,Butiama centre, Busegwe, Mryaza, Bumangi, Buhemba, Mgango genery, Bwai,Nyamuswa, Ikizu,Zerozero, na maeneo ya jirani.
Nyakato,Kigera,Mara secondary school,Kamnyonge,Makoko,Buhare,Bukanga fishery,JWTZ Itaro,JWTZ Makoko,Nyegina, Nyasho mlango mmoja, Coptic hospital na maeneo ya jirani
Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe.

Wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: - 0683 165087, 028 2622 020 ofisi ya TANESCO Musoma.
                          

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

KUMBUKA TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO!
                      

Post a Comment