0
 WANANCHI WA MJI WA MUSOMA WAKISUBILI KUPIMWA AFYA ZAO BURE KUTOKA NSSF
 NI VYEMA KUJUA AFYA YAKO


 TUNASUBILI KUPIMWA



MFUKO wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeanza vyema kambi za upimaji afya kwa wanachama wake pamoja na wananchi wa wa Kanda ya Ziwa baada ya kupima wanachama 460 ikiwa ni kuvuka lengo la kupima wanachama 400 kwa siku.

Post a Comment