0
AILIYEKUWA KATIBU WA MWENEZI WA CHADEMA KATA YA NYASHO MANISPAA YA MUSOMA ODEMBA KILEMILE AKIZUNGUMZA JUU YA JUKWAA LA CCM BAADA YA KURUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUJIUNGA NA CHAMA HICHO
KATIBU WA CCM MKOA WA MARA MERCY MALAMBO KUSHOTO AKIMVISHA SHATI LA CCM ODEMBA KULIA NI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA CRISTOPHER SANYA
ODEMBA AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO HUO NA MOJA YA MAELEZO YAKE NI KWAMBA HAJASHAWISHIWA NA MTU YOYOTE KUJIUNGA NA CHAMA HICHO
BAADHI YA VIONGOZI WA CCM WAKIWA MEZA KUU
WANAFATILIA MKUTANO
ODEMBA AKISALIMIANA NA MJUMBE WA NEC WILAYA YA MUSOMA VEDASTUS MATAYO
SANYA AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO HUO
NI MUDA WA KULA KIAPO CHA CHAMA
Post a Comment