0






 TUNAFATILIA MKUTANOMATAHAYO AKIHUTUBIA MKUTANO KATA YA IRINGO













CHAMA cha Mapinduzi(CCM)Wilaya ya Musoma kimeendelea kufanya mikutano kwenye kata za mji huo ikiwa ni katika njia ya kujiimalisha kablay achaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Akihutubia mkutano uliofanyika Kata ya Iringo,Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM(NEC)Vedastus Mathayo alisema akiwa kama kiongozi wa chama hicho ni kuendelea kufanya mikutano kwa kushilikiana na viongozi wengine kukijenga chama.

   Inaendelea habari badae...................

Post a Comment