0

 DIWANI WA KATA YA KIGERA GABRIEL OCHARO AKICHANGIA MOJA YA VIKAO VYA BARAZA LA MADIWANI KATIKA SIKU ZA NYUMA,DIWANI HUYO AMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE CHA MIAKA 3 NA KULIPA FIDIA YA LAKI 5 BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA KUVUNJA MADARASA MATATU KINYUME NA TARATIBU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mara  imemuhukumu kifungo cha nje cha miaka 3 Diwani wa Kata ya Kigera Gabriel Ocharo(CUF) na kutakiwa kulipa fidia ya milioni 5 baada ya kukutwa na hatia ya kuvunja madarasa ya shule ya msingi Kigera kinyume na taratibu.

Post a Comment