0
 SEHEMU YA MAJENGO YA CHUO KIKUU HURIA MKOA WA MARA YALIYOZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI JESISTER MHAGAMA

 UKUMBI ULIOPEWA JINA LA JOHN TOPPA KATIKA KUENZI UKARIBU WAKE NA CHUO HICHO KABLA AJAFIKWA NA MAUTI
 MANDHARI YA UKUMBI WA CHUO KIKUU HURIA MKOA WA MARA
 VIONGOZI WAKIELEKEA KWENYE UZINDUZI
 UKATWAJI WA UTEPE

UZINDUZI RASMI WA UKUMBI



 MGENI RASMI AKISAINI KITABU CHA WAGENI


 SEHEMU YA WANA CHUO


 MAKAMU MKUU WA CHUO PROFESA MWBETTE

 MBUNGE MKONO PIA ALIKUWEPO
  

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenister Mhagama amewataka wananchi mkoani Mara kukitumia chuo kikuu huria cha Tanzania kituo cha Musoma kujipatia elimu ya juu huku wakiwa wanafanya shughuli za kuwaingizia kipato.

Post a Comment