0


 WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI,Dk.TITUS KAMANI ALIPOKUWA AKIWASILI KIKOSI KITEULE BULAMBA KINACHOSIMAMIWA NA JKT RWAMKOMA KWAAJILI YA UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA AMBAPO ALISIFU JITIHADA ZA JESHI HILO KWA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU KKWA KUANZISHA UFUGAJI
 KAMANDA KIKOSI 822 JKT RWAMKOMA MEJA JENARALI DAVID MSALUKO AKITOA MAELEKEZO MARA BAADA YA WAGENI KUFIKA ENEO LA BULAMBA

 VIONGOZI WAKIJIFUNGA MABOYA ILI KWENDA KUANGALIA VIZIMBA VYA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
 WAZIRI KAMANI AKIKATA UTEPE KUASHILIA UZINDUZI WA UFUGAJI WA SAMAKI WA KISASA

 VIONGOZI WAKIWA KWENYE BOTI KUELEKEA ENEO LA UFUGAJI
 MEJA JENARALI MSALUKO AKIWA MAKINI NDANI YA BOTI AKIMUONGOZA WAZIRI KAMANI KWENDA ENEO LA UFUGAJI
 VIZIMBA VYA UFUGAJI WA SAMAKI
 UNATAFUTWA UELEKEO WA KUPAKI BOTI
 WATAALAMU WA UVUVI WAKIMUONGOZA WAZIRI KAMANI KUWEKA VIFARANGA VYA SAMAKI


Post a Comment