0
MWANANCHI AKIPATA UFAFANUZI ILI AWEZE KUJIUNGA


MKUU WA WILAYA AKIJADILI JAMBO NA MENEJA WA BIMA YA AFYA MKOA WA MARADOKTA MGUDE BACHUNYA
MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA ANGELINA MABULA (KULIA)AKIJADILIANA JAMBO NA MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YA MUSOMA
MWENYEKITI WA HALIMASHAURI YA MUSOMA VIJIJINI MR.MASHAURI KULIA AKIJADILI JAMBO NA MGANGA WA HALIMASHAURI HIYO,GENCHWELE MAKENGE KUSHOTO HUKU KATIKATI AKIWEPO DIWANI WA KATA YA BUKIMA,MR.MAYAMBA
MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA ANGELINA MABULA AKIHUTUBIA MKUTANO WA UHAMASISHAJI KUJIUNGA NA CHF KIJIJI CHA BUSEKERA
UKIJUNGA UNAPEWA ZAWADI


WANANCHI ZAIDI YA 60 WAMEJITOKEZA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII(CHF)KATIKA KIJIJI CHA BUSEKERA,KATA YA BUKUMI,WILAYANI BUTIAMA IKIWA NI SIKU YA KWANZA YA KAMPENI YA UHAMASISHAJI WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO.

MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA ANGELINA MABULA,AMELIZISHWA NA MWITIKIO HUO WA SIKU YA KWANZA NA KUDAI NI DALILI NZURI YA WANANCHI KUHAMASIKA NA KUKUBALI KUJIUNGA ILI KUWEZA KUPATA HUDUMA YA MATIBABU KWA MWAKA MZIMA.

Post a Comment