0 KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOANI MARA,PHILIP KALANGI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA OPARESHENI ILIYOPELKEA KUKAMATWA KWA BUNDUKI 2 AINA YA SMG NA RISASI 167
LICHA BUNDUKI OPARESHENI HIYO PIA ILIFANIKISHA KUKAMATWA KWA BIDHAA MBALIMBALI KAMA VILE MAFUTA YA KULA,NGANO,SUKARI NA BIDHAA NYINGINE ZA NYUMBANI
WAANDISHI WANAFATILIA

BUNDUKI ILIYOKAMATWA
UNAUONA MZIGO HAPO PEMBENI

Post a Comment