0
 MWANAMKE MMOJA MKAZI WA BWAI WILAYA YA BUTIAMA,KUDRA JANJA,AMECHOMEWA NDANI NA PETROLI NA MUME WAKE KATIKA TUKIO AMBALO LILIPELKEA PIA MTOTO WAKE TATU SIMIONI,MWENYE UMRI WA MWEZI MMOJA NA NUSU KUFARIKI DUNIA.

TUKIO HILO LILITOKEA MACHI 31 MWAKA HUU,AMBAO WATU MBALIMBALI WAMELAANI TUKIO HILO NA KUVIOMBA VYOMBO VYA DOLA KUMSAKA MTUHUMIWA WA TUKIO HILO KISHA KUMFIKISHA KENYE VYOMBO VYA SHERIA NA KUCHUKULIWA ADHABU KALI.
 WAANDISHI WA HABARI WAKICHUKUA TAARIFA JUU YA TUKIO HILOPost a Comment