0
MBUNGE wa viti maalumu kupitia kundi la vijana (CCM) Ester Bulaya amejiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mjini Bunda na kuwataka wananchi wa Bunda na watanzania kwa ujumla kulichukulia umuhimu wa pekee zoezi hilo na kujitokeza kwenye vituo vya kujiandikisha ili waweze kuandikishwa na kupata fursa ya kuwachagua viongozi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi oktoba mwaka huu.

 Bulaya akifanya uhamasishaji kituo cha Migongani
 Bulaya akiandikishwa

 zikichukuliwa alama za vidole
 hatua ya picha
 kusaini kitambulisho
 kitambulisho kikiwa tayari


 akiwa na kijana aliyejiandikisha
 uhamasishaji vijana
 uhamasishaji unaendelea
 kina mama wakihamasishwa
 ni kama anasema,"hakikisheni mnatoka na vitambulisho vyenu"
 twende mkajiandikishe

 kitambulisho ndio mpango mzima

 uhamasishaji ukiendelea kupitia vyombo vya habari

Post a Comment