0
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MANISPAA YA MUSOMA HAJI MTETE AKITOA MAELEKEZO KABLA YA KUMKARIBISHA MWENYEKITI WAKE DAVID SUNGURA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI KATIKA HITIMISHO LA MASHINDANO YA COPA COCA COLA MANISPAA YA MUSOMA AMBAPO TIMU YA MARA ACADEMY WALIIBUKA KUWA MABINGWA KWA KUIFUNGA TIMU YA BARUTI FC KATIKA MCHEZO WA FAINALI.

Post a Comment