0
 Matukio ya picha za fainali ya mashindano ya kombe la Ester Bulaya Cup yaliyofanyika mjini Bunda katika uwanja wa sabasaba huku ikishuhudiwa timu ya Town Stars fc wakiibuka mabingwa na kujitwalia kitita cha shilingi laki tano pamoja na kombe.
Post a Comment