0

Mshindi wa Miss Redd's EUGENE FABIAN akipozi kupata picha
Katikati ni mshindi wa Redds Miss Lake zone 2012/13 Eugene Fabian kutoka Mara akiwa katika sura ya furaha mara baada ya kutangazwa rasmi kunyakua taji hilo, Kushoto kwake ni mshindi wa Tatu Happiness Rweyemamu kutoka Shinyanga na Kulia kwake ni mshindi wa pili Happiness Daniel kutoka Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza ameondoka na kitita cha shilingi Laki 7, mshindi wa pili laki 5 na mshindi wa tatu laki nne na nusu. PICHA na Faustine Ruta wa www.bukobasports.com Tatu bora wakiwa wamepozi kwa raha zao
Hongera sana EUGENE FABIAN Mshindi wa Redd's Miss Lake Zone akivalishwa Taji
Show ya Ufunguzi ikiendelea
washiriki wote wakiwa kwenye ufunguzi na hapa ni show yao wakiwa wanaonekana wote.
Mzee Hashim Lundenga (a.k.a Uncle Hashim) akiongea na wadau waliojitokeza pamoja kuwapa salam
Uncle Hashim mratibu wa mashindano haya ya Redd's
Mc akiendelea na kazi yake
mambo ya Vazi
warembo wakijitambulisha
Meza kuu (kulia) ni Mzee Hashim Lundenga
Anita mdau mkuu wa Ma - Miss TZKumi bora
Bw. Hashim akiitwa kwenda kuchagua Tano Bora. Hapa akijiuliza kwani kibarua kilikuwa kigumu sana
Tano Bora Maswali
 Miss Redd's Baby Kalalaa kutoka Kagera akifanya mambo ambaye ndiye aliyeshinda Talent
Baby Kalalaa
A.k.a Joka
Haaa ... eee ...
Muksini Mambo wa Redio Free Afrika na Faustine Ruta wa www.bukobasport.blogsport.com

Mhh... na hapa je? chekecha!!!

Mr. Jamco_ Jamali Kalumuna akisalimiana na wageni na wadau mbalimbali.

Mc
Mambo yote yalikuwa live


Bob Haisa akiendelea kutumbuiza

Kijukuu wa kahama fm akiwa na waandaaji wa miss lake zone 2012 Kahama

Post a Comment