1
WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA ULIIMBWA
WAGENI WETU PIA WALIIMBA WIMBO WA TAIFA LAO LA UHOLANZI
KUTOKA KUSHOTO WACHEZA WA WANAHABARI MARA NAHODHA SHOMARI BINDA,PASCHAL MICHAEL,CALES ONE GEORGE MARATO
NI KATIKA KUTAKIANA MCHEZO WA KIUNGWANA
ZILITUPIWA UZI WA KALABU MOJA KUBWA YA MJINI MUSOMA TOWN STAR KATIKA KUITANGAZA
GEORGE MARATO ALIPIGA DAKIKA ZOTE TISINI ILA BAADA YA HAPO!
HAMNA NOMA TUTAENDA SAWA NAHODHA WA TIMU KUTOKA UHOLANZI CRISS VAN GAAL NA NOHONDHA WA WANAHABARI SHOMARI BINDA PAMOJA NA WAAMUZI WA MCHEZO HUO WAKIONGOZWA NA JOHN MANYANZA ALIYESIMAMA KATI
KOCHA WA TIMU YA WANA HABARI MARA AMANI RICHARD WAKATI WA MAPUMZIKO HUKU CALES ONE AKIWA HOI

BAADA YA MCHEZO NI KUBALISHANA MAWAZO NA KUFURAHIA MCHEZO

JAMAA BAADA YA MCHEZO ILIBIDI ANITAFUTE MAANA NILIMKIMBIZA MARA MBILI AKABADILI NAMBA

Post a Comment

Hi there, this is Martin, the captain of the Dutch team. I wanted to let you know that we had a great time playing football with your team and the really, really fairplay minded ;) referees did a great job. Of course you are invited to come to the Netherlands for a revange match...

I would like to know if this match is reported / published elsewhere on the web and if so do you have the links to it?

Thanks a lot and see you soon in the Amsterdam Arena! ;)