WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA ULIIMBWA |
WAGENI WETU PIA WALIIMBA WIMBO WA TAIFA LAO LA UHOLANZI |
KUTOKA KUSHOTO WACHEZA WA WANAHABARI MARA NAHODHA SHOMARI BINDA,PASCHAL MICHAEL,CALES ONE GEORGE MARATO |
NI KATIKA KUTAKIANA MCHEZO WA KIUNGWANA |
ZILITUPIWA UZI WA KALABU MOJA KUBWA YA MJINI MUSOMA TOWN STAR KATIKA KUITANGAZA |
GEORGE MARATO ALIPIGA DAKIKA ZOTE TISINI ILA BAADA YA HAPO! |
HAMNA NOMA TUTAENDA SAWA NAHODHA WA TIMU KUTOKA UHOLANZI CRISS VAN GAAL NA NOHONDHA WA WANAHABARI SHOMARI BINDA PAMOJA NA WAAMUZI WA MCHEZO HUO WAKIONGOZWA NA JOHN MANYANZA ALIYESIMAMA KATI |
KOCHA WA TIMU YA WANA HABARI MARA AMANI RICHARD WAKATI WA MAPUMZIKO HUKU CALES ONE AKIWA HOI |
BAADA YA MCHEZO NI KUBALISHANA MAWAZO NA KUFURAHIA MCHEZO |
JAMAA BAADA YA MCHEZO ILIBIDI ANITAFUTE MAANA NILIMKIMBIZA MARA MBILI AKABADILI NAMBA |
Post a Comment
1 comments:
Hi there, this is Martin, the captain of the Dutch team. I wanted to let you know that we had a great time playing football with your team and the really, really fairplay minded ;) referees did a great job. Of course you are invited to come to the Netherlands for a revange match...
I would like to know if this match is reported / published elsewhere on the web and if so do you have the links to it?
Thanks a lot and see you soon in the Amsterdam Arena! ;)