0


 







 





 


Duka la kisasa linalojishughulisha na uuzaji wa nguo,viatu,mikoba na vitu vya mitindo mbalimbali ya fashion la HOME BOUTIQUE FM FASHIONI la Mjini Musoma katika mtaa wa Gandhi,limetoa punguzo kubwa la bei katika majira ya sikukuu ya Pasaka ili kila mmoja aweze kupendeza.Akizungumza na Blogu hii,Mkurugenzi wa duka hilo Fedrick Miyabi amesema punguzo hilo limeanza tangu machi 15 na litamalizika aprili 10.Amesema bidhaa mbalimbali zipo dukani zikiwemo nguo  za wakubwa na wadogo pamoja na viatu.Miyabi amewaomba wakazi wote wa Manispaa ya Musoma pamoja na Mkoa wa Mara kwa ujumla kutembelea katika duka hilo ili waweze kujionea bidhaa bora zilizopo pamoja na punguzo la bei ama wawasiliane kwa kupiga simu namba 0757399294,0713409189au0782129604 ili kupata malekezo zaidi ya punguzo hilo

Post a Comment