0

 

 Warembo wa Redd's Miss Tz wakiwasili katika kambi ya Taifa ya warembi hao kwenye Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar Es Salaam ambapo warembo 30 wataanza kambi hiyo leo.
  Wa pili (kushoto) ni Mkurugenzi wa LINO Hashimu Lundenga na meneja wa Kinywahji cha Redd's Original Victoria Kimaro, wakizungumza na warembo hao.
 Lundenga, akiwakaribisha warembo hao wakati wakiwasili Hotelini hapo.
Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na warembo wa shindano la Redd's Miss Tanzania waliowasili jijini Dar es salam leo na kuingia moja kwa moja kambiani kujiandaa na shindano la Taifa

Post a Comment