0
 MKURUGENZI WA MRADI WA KITUO CHA MAFUNZO YA UFUNDI KWA WALEMAVU DENIS MAINA KULIA AKIANGALIA MOJA YA MASHINE ZILIZOPO KITUONI HAPO
 MMOJA WA WALIMU WA KITUO AKIANGALIA MASHINE
 KARAKANA YA UFUNDI
 VICHWA VYA CHEREHANI TAYARI KWA MAFUNZO YA USHONAJI
 MASHINE NDANI YA KARAKANA
 MASHINE ZIKIWA TAYARI KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU KUANZA KUJIFUNZA
 RAJIELEZA
 MOJA YA MAJENGO YA KITUO

 BAADHI YA MAJENGO YA KITUO HICHO YAKIENDELEA KUJENGWA


 WENYE ULEMAVU NAO WAPEWE NAFASI YA KUJIFUNZA UFUNDI
 MKURUGENZI MAINA AKIKAGUA MAENDELEO YA KITUO


 MAJENGO YA MADARASA YAKIENDELEA KUJENGWA
WALEMAVU VIZIWI WAKITUMIA NGUVU KAZI KUCHIMBA SHIMO LA MAJI MACHAFU LA KITUO CHAO HIKI KILICHOPO MAENEO YA NYABANGE NJE KIDOGO YA MJI WA MUSOMA AMBAPO WALEMAVU WENYE ULEMAVU MBALIMBALI WANATARAJIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO MWEZI HUU NA KUANZA MAFUNZO YA UFUNDI.

HABARI ZAIDI JUU YA MAENDELEO YA KITUO HIKI UTAZIPATA KUPITIA BLOG HII

Post a Comment