0
 MEYA KUSHOTO AKIWA NA NAIBU MEYA
WATAALAMU WA MANISPAA WAKIFATILIA BARAZA
MADIWANI WA MANISPAA

KUTETA MUHIMU!.
MEYA AKISISITIZA JAMBO

AFISA BIASHARA AKITOA TAARIFA YA MAAMUZI YA KUSHUSHA BEI
OFISI ZA HALIMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA


Baraza la madiwani wa Halimashauri ya Manispaa ya Musoma limepitisha maamuzi ya kushusha bei ya kukodi vibanda vya biashara katika stendi mpya ya mabasi eneo la Bweri ili kuwapa nafasi wananchi wengi kuchukua vibanda hivyo na kufanya biashara ya kuwaongezea kipato.


Madiwani hao chini mstahiki Meya wa Manispaa Alex Kisurura walipunguza gharama ya vibanda vikubwa kutoka 41,040 hadi 25,000 na vidogo 30,400 hadi 20,000 ili wananchi wengi waweze kupanga kwenye vibanda hivyo.

Post a Comment