0


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

TAARIFA YA  KATIZO LA UMEME MUSOMA
JUMAMOSI TAREHE 08/03/2014 SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 12:00 JIONI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa MARA  kuwa kutakuwa na katizo la umeme Musoma kama ifuatavyo:-SIKU:          Jumamosi 08/03/2014.MUDA:        Saa 03:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni.SABABU:     Kubadilisha nguzo kwenye ‘laini’ ya ‘interconnector’ 33kV eneo la majengo, na eneo la Iringo na kuhamisha nguzo eneo la barabara ya Kusaga kupisha ujenzi wa barabara.MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:Maeneo yote ya Musoma Mjini.

Tafadhali usiguse wala kukanyaga waya uliokatika au kudondoka chini, toa taarifa Ofisi za TANESCO zilizo karibu nawe.Wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: -

0732 985672, 0683 165087, 028 2622 020 au

Call centre number 022-2194400  or  0768 985 100                         


Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Post a Comment