0
 MAANDAMANO YA WANAWAKE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MJINI BUNDA

 KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARABENDICT OLE KUYAN WA KWANZA KUSHOTO AKIPOKEA MAANDANO


 
 MABANGO MBALIMBALI YA KUPINGA UKATILI
 KIKUNDI CHA AKIMA WALIMAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WA KIJIJI CHA TAIRO WILAYANI BUNDA WANAOJENGEWA UWEZO NA KANISA LA ANGLICANA JIMBO LA MARA KUPITIA MRADI WA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE
 BURUDANI PIA ILIKUWEPO
 KATIBU TAWALA AKIKAGUA KIKUNDI CHA KINA MAMA WAKASILIAMALI WANAOTENGENEZA SABUNI NA BATIKI KUTOKA KITARAMANKA
 BI.SIKUNJEMA MAINGA WA KITENGO CHA MAENDELEO YA JAMII KANISA LA ANGLICANA AKITOA MAELEZO KUHUSU KILIMO CHA MBOGAMBOGA KWA VIKUNDI WANAVYOVIJENGEA UWEZO
 CREW YA KAYOMBO ENTERTAINMENT ILIKUWEPO KUHAKIKISHA SAUTI INASIKIKIKA
 ISAYA WA ADOLINA AKITOA UJUMBE KUHUSU KUPINGA UKATILI WA WANAWAKE KUPITIA WIMBO
 SAREHE ZUNGU AKIWAKILISHA MEDIA
 WAKINA MAMA WAKIUZUNIKA BAADA YA KUSIKIA USHUHUDA WA MMWANAMKE ALIYEFANYIWA UKATILI
 MWANAMKE ALIYEFANYIWA UKATILI AKISAHIDIWA FEDHA ZA MATIBABU BAADA YA USHUHUDA
 MWANAMKE ALIYEFANYIWA UKATILI WA KUKAMTWA MKONO NA MUME WAKE BAADA YA KUMKATAA BI. SUMAYI WA BUNDA AKIPOKEA MCHANGO ALIOCHANGIWA NA WALIOGUSWA NA UKATILI ALIOFANYIWA
 KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA AKITOA HOTUBA
HAPA MMILIKIWA BLOG YA SHOMMI B,AKIJARIBU KUPATA MAELEZO YA MWANAMKE ALIYEFANYIWA UKATILI WA KUKATWA MKONO NA ALIYEKUWA MUME WAKE,MAKALA INAYOHUSIANA NA TUKIO HILI UTAKUJA KUISOMA KUPITIA BLOG HII

Post a Comment