0
 
FULL KUKIMBIZA
SUDI HAMZA AKIJIANDAA KUINGIA MAZOEZINI

ISSA SOLOTA MFANYABIASHARA WA SIMU NA BIDHAA MBALIMBALI MUSOMA AKIWA MAZOEZINI UWANJA WA KARUME


SHABANI MGANDA PAMOJA NA RUZINDA WAKINYOOSHA VIUNGO
KOCHA AMNAI RICHARD AKIONGOZA MAZOEZI
MIGONGO LAZIMA INYOOKE MAANA WABUNGE WANA REKODI NZURI YA USHINDI

MAZOEZI YA SHINGO

JAMAA HOI HADI ANASHIKA KIUNO MAZOEZI YA WAFANYABIASHARA MUSOMA SI MCHEZO

TIMU YA SOKA YA WAFANYABIASHA WA MJINI MUSOMA WAPO KWENYE MAZOEZI MAKALI YANAYOENDELEA KWENYE UWANJA WA KARUME KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA TIMU YA SOKA YA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

AKIZUNGUMZA NA BLOG HII KWENYE MAZOEZI YA TIMU HIYO MJINI MUSOMA,KOCHA WA TIMU YA WAFANYABIASHARA AMANI RICHARD ALISEMA WANATARAJIA KUCHEZA NA WAHESHIMIWA WABUNGE MWANZONI MWA MWEZI WA 7 HIVYO MAZOEZI HAYO YATAWAHIMALISHA KUFANYA VIZURI KWENYE MCHEZO HUO..........

Post a Comment