0
 Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema(Bavicha) Musoma mjini Julius Gabriel Mwitaakisalimiana na Mwenyekiti wa chama hicho musoma Mr Kayere baada ya kurudisha fomu kugombea katibu bavicha ngazi ya taifa


 WANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)wameendelea na uchukuaji wa fomu kwaajili ya kuwania nafasi mbambali za uongozi ngazi ya taifa.

Katika kuwania nafasi ndani ya Baraza la Vijana Taifa(Bavicha)Mwenyekiti wa baraza hilo Musoma mjini Julius Gabriel Mwita amejitosa kuwania nafasi ya Katibu wa Baraza hilo taifa.

Akizungumza na Blog hii Mwita alisema baada ya kupata mafanikio makubwa yakuhamasisha vijana kujiunga na Chadema Musoma mjini sasa anataka afanye kazi hiyo ngazi ya kitaifa.
         
 Utaendelea kupata wasifu wa mgombea huyu kupitia blog hii.  

Post a Comment