0
 UTALII

 SIMBA WAPANDA MITI NAO UTAWAONA


 NDEGE WAZURI UTAKUTANA NAO ZIWA MANYARA
 SWALA PIA UTAWAONA HIFADHI ZA TAIFA

 MAJI YANAYOTILILIKA PIA NI UTALII TOSHA
 PUNDAMILIA WAKIWA WANAPATA CHAKULA KATIKA MOJA YA HIFADHI ZA TAIFASHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA LINAWAKARIBISHA WOTE KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA KWA GHARAMA NAFUU KABISA

TEMBELEA;  

KITULO,MAHALE,GOMBE,KATAVI,UDZUNGWA,RUAHA,MIKUMI,SAADANI,MKOMAZI,KILIMANJARO,ARUSHA,TARANGIRE,ZIWA MANYARA,SAANANE,RUBONDO NA SERENGETI.
KWA TAARIFA ZAIDI NA KUJUA PUNGUZO HILI KBWA LA KUFANYA UTALII HUSUSANI UTALII WA NDANI WASILIANA KWA ANUANI IFUATAYO……..
                          
                              MKURUGENZI MKUU
                                 HIFADHI ZA TAIFA
                                   S.L.P 3134
                                      ARUSHA
                 
                        SIMU;+255 27 250 3471
                        NUKUSHI;+255 27 2508216
                        BARUA PEPE;dg@tanzaniaparks.com
                        TOVUTE;www.tanzaniaparks.com

        NYOTE MNAKARIBISHWA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA

Post a Comment