0

MENEJA WA BENKI YA POSTA TAWI LA MUSOMA COSMAS MAGASHI AKIONYESHA KADI YA ATM AMBAYO HUTUMIWA NA MASHABIKI WA SIMBA KUICHANGIA TIMU YAO BAADA YA KUFUNGUA AKAUNTI KWENYE BENKI HIYO
MWENYEKITI WA SIMBA TAWI LA MUSOMA AKIFUNGUA MKUTANO

 MASHABIKI WA SIMBA KIKAONI

 VIONGOZI WA YANGA PIA WALIKARIBISHWA
WANACHAMA,mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba wamekutana mjini hapa kwa lengo la kuhakikisha wanakuwa sehemu ya kuichangia timu hiyo na kuhakikisha inafanya vizuri kwenye msimu mpya wa ligi utakaoanza septemba 20.

Post a Comment