0

 MTENDAJI MKUU WA BLOG YA SHOMMI B BLOG AKIMCHUKUA MAELEZO MENEJA WA CRDB TAWI LA MUSOMA MR.MASSAWE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
 KILA MTEJA ALIYEFIKA ALIKUTANA NA KEKI MLANGONI
 NI FURAHA KWA PAMOJA

 WATEJA WAKIENDELEA KUPATA HUDUMA BORA

 MTEJA ANAPATA KEKI

 AHSANTE
 KESSI KUSHOTO AKITAZAMA KEKI


BENKI ya CRDB tawi la Musoma imetoa asante kwa wateja wake na kuahidi kuendelea kuwa karibu na wateja wake kwa kuboresha huduma mbalimbali ambazo wanazitoa.

Akizungumza na Blog hii,Meneja wa benki hiyo Mr.Massawe alesema katika kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja wameamua kurudisha asante kwa kuungwa mkono na kuwa benki inayoongoza hapa nchini.

Amesema mteja ndani ya CRDB ni Zaidi ya mfalme na kamwe hawwatasita kumsikiliza na kuendelea kutoa huduma bora pale mteja anapofika kweny benki hiyo.

Post a Comment