0
ILIKUWA NI MECHI KALI YA VOLLYBALL KATI YA WALABATA WA CDTI DHIDI YA PLATNUM NDANI YA VIWANJA VYA CHUO
NETBALL NAYO HAIKUKOSA

FULL VURUGU MECHI


KABLA YA MCHEZO SALAMU ZILIHUSIKA

PICHA YA PAMOJA KATI YA WALABATA WA CDTI BUHARE NA PLATINUM
PLATNUM

KATIKA BONANZA HILI AMBALO LILIHUSISHA PIA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU MGENI RASMI ALIKUWA MDAU WA MICHEZO DOCTA MUSUTO CHIRANGI NA BAADAE PICHA ZAIDI ZA UTOAJI WA ZAWADI NA MAMBO ZAIDI YALIVYOKUWA UTAZIPATA HAPAHAPA SHOMMI B BLOG

Post a Comment