0

KILA TIMU ITAPATA SETI 2 ZA JEZI
VIFAA VIKO TAYARI KAMA ANAVYOONYESHA AMAN RICHARD

MAELEKEZO
MJADALA

KIKAO CHA VIONGOZI WA TIMU ZA KATA 13

KIONGOZI WA KATA YA NYASHO AMBAYE PIA NI DIWANI,GODON MUMBALA AKICHANGIA HOJA
WAAMUZI WA MASHINDANO HAYO WAKIFATILIA






MAANDALIZI ya kuanza kwa mashindano ya Mathayo Cup ngazi ya Kata 13 za Manispaa ya Musoma yamekamilika na tayari mashindano hayo yamepangwa kuanza kutimua vumbi novemba 3 kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume.


Akizungumza na Blog hii,Mratibu wa mashindano hayo upande wa vifaa,Amani Richard amesema kila kitu kinachohitajika kwaajili ya kuanza mashindano hayo kimekamilika na kinachosubiliwa ni siku ifike ya kuanza kwa mashindano hayo.


Amesema mashindano hayo yameboreshwa kwa kiasi kikubwa kuanzia vifaa na zawadi kwa timu zote za kata 13 ambazo zipo kwenye maandalizi makali ya kushiriki mashindano hayo

Post a Comment