MADAKTARI BINGWA WAKIMFANYIA UPASUAJI MMOJA WA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MARA,MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA MBALIMBALI WAPO MUSOMA KUPITIA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA(NHIF) NA TAYARI WAMESHAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 500
MMOJA WA WATOTO WALIOFANYIWA UPASUAJI WA KUTOA UVIMBE KICHWANI,FROLA JOSEPH MWENYE UMRI WA MIAKA 2 MKAZI WA NYAMATARE MANISPAA YA MUSOMA
DOCTA RAPHAEL MALLABA AKIMTOLEA MAELEZO MGONJWA CHRISTINA LUDARA MKAZI WA MUSOMA VIJIJINI AMBAYE AMEPEA RUFAA YA KWENDA MUHIMBILI KUTOKANA NA UPASUAJI WAKE KUHITAJI VIFAA VYA ZIADA KUTOKANA NA KUFANYIWA OPARESHENI HAPO AWALI
Add caption |
MGONJWA AKIWA AMEPASULIWA NA MADAKTARI BINGWA
MASHINE ZA UPASUAJI
MWAKILISHI WA MKURUGENZI WA MFUKO WA BIMA YA AFYA, MICHAEL KISHIWA(KULIA)AKIZUNGUMZA NA MMOJA WA MADAKTARI BINGWA KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI
DAKTARI BINGWA MA MAGONJWA YA WATOTO AKITOA HUDUMA
WANANCHI WAKISUBILIA HUDUMA YA MADAKTARI BINGWA WALIOPO MUSOMA KUPITIA MSAADA WA NHIF
Baadhi ya wagonjwa waliopata huduma
kutoka kwa madaktari bingwa,wameshukuru ujio wa madaktari hao kupitia (NHIF)kwa
kupewa huduma nzuri ambazo wangeenda kuwafata walipo wangetumia gharama kubwa
Kwa upande wao madaktari bingwa
kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili,KCMC na Bugando wameiomba Serikali
pamoja na Wizara ya Afya kuitupia jicho mikoa ya pembezoni ili iweze kupata
huduma ya madaktari bingwa kutokana na changamoto ya wagonjwa waliokutana nao
Post a Comment
0 comments